MASTAHIKI MEYA WA MANISPAA MJINI ZANZIBAR ZIARANI NCHINI UJERUMANI
MSTAHIKI Meya wa Baraza la Manaispa Mjini Zanzibar Ali Haji Haji, amefanya ziara maalum ya kikazi Nchini Ujerumani ambapo amepata fursa ya kutembelea moja ya nyumba maarufu Jijini Berlin na kupata kujua historia ya jengo hilo ambalo linadaiwa kujengwa mwaka 1390
Akizungumza Jijini Berlin Meya huyo alisema amejifunza vitu vingi kupitia jengo hilo ikiwa ni pamoja na kutunza maeneo ya kihistoria kwa ajili ya kizazi cha sasa na baadae.
Alisema Wazanzibar na Watanzania kwa ujumla wanalo jukumu la kuheshimu na kuthamini vitu walivyokuwa navyo vya vivutio kwani vitu hivo ni hazina tosha kwa nchi na taifa kwa ujumla.
Aidhaa Ali aliwataka Wazanzibar kuwa na utamaduni wa kwenda maktaba kwa lengo la kukuza ujuzi na maarifa kwa manufaa yao.
Nae Afisa Uhusiano wa Mambo ya Nje wa Jiji la Postdam nchini Ujerumani Ndg Issabel alisema jengo hilo ni muhimu kwa nchi ya Ujerumani kwani limechukua historia kubwa ya nchi hio na kuwa moja ya Makumbusho makubwa ya nchi hio.
Ziara hio bado inaendelea ambapo Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar anatarajiwa kukutaa na kufanya mazungumzo na Mstahiki Meya wa Jiji la Potsdam Mh Pete HeuerSeptemba16 mwaka huu majira ya saa saba za mchana sawa na saa sita za mchana kwa saa za Afrika Mashariki.
Ikumbukwe kuwa ziara hio ni kuimarisha uhusiano baina ya manispaa ya mji wa Zanzibar na Jiji la Potsdam uhusiano ambao uliasisiwa tangu mwaka 2011 na kuwekwa saini 2017.

BARAZA LA MANISPAA MJINI LACHUKUA HATUA YA KUVUNJA MADUKA
BARAZA la Manispa Mjini limechukua hatua ya kuvunja maduka yaliojengwa katika maeneo ya wazi mtaa wa Nyerere Wilaya ya Mjini Unguja.
Akizungumaza baada ya kuvunjwa kwa maduka hayo Mkurugenzi wa Baraza la Manispa Mjini Ali Khamisi Mohammed alisema watu waache tabia ya kujichukulia hatua ya kujenga katika maeeneo ya wazi ili kuepuka rungu la kuvunjiwa nyumba au maduka yao.
Alisema Baraza la Manispaa Mjini halitamvumilia mtu yoyote atake chukua hatua ya kujenga katika maeneo ya wazi mbayo hayaja idhinishwa kwa ajili ya ujenzi na badala yake kuvunjiwa nyumba hiazo.

MH OTHMAN ATOA MKONO WA POLE
MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mh Othman Masoud Othman, ametoa mkono wa pole kwa ndugu jamaa na marafiki ikiwemo Baraza la Manispaa ya mjini Unguja katika msikiti wa Walesi Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mkono wa pole huo aliutoa baada ya kufuatia kifo cha aliekuwa mfanyakazi wa B araza la Manaspaa Mjini, Almarhum Hafsa Said Salimu kilichotokea katika Hospitali ya Minna Mbweni.
Alisema wafiwa wote na walio guswa na msiba huo waendelea kuwa na subra katika kipindi hiko kigumu wanachopitia cha kuondokewa na mpendwa wao.
Aidha Masoud alisema watu waendelee kutoa ushirikiano katika masuala kama hayo, kwani si jambo la mtu mmoja bali linaweza kumtokezea mtu yoyote na wakati wowote.

BARAZA LA MANISPAA MJINI LACHUKUA HATUA YA KUVUNJA MADUKA. . . .
BARAZA la Manispa Mjini limechukua hatua ya kuvunja maduka yaliojengwa katika maeneo ya wazi mtaa wa Nyerere Wilaya ya Mjini Unguja.
Akizungumaza baada ya kuvunjwa kwa maduka hayo Mkuruge . . . .

MH OTHMAN ATOA MKONO WA POLE. . . .
MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mh Othman Masoud Othman, ametoa mkono wa pole kwa ndugu jamaa na marafiki ikiwemo Baraza la Manispaa ya mjini Unguja katika msikiti wa . . . .

MASTAHIKI MEYA WA MANISPAA MJINI ZANZIBAR ZIARANI NCHINI UJE. . . .
MSTAHIKI Meya wa Baraza la Manaispa Mjini Zanzibar Ali Haji Haji, amefanya ziara maalum ya kikazi Nchini Ujerumani ambapo amepata fursa ya kutembelea moja ya nyumba maarufu Jijini Berlin na kupata . . . .
Huduma
Huduma zetu
UJENZI NA UKARABATI TEST
In quis neque bibendum, tincidunt nunc vel, interdum quam. Nulla consectetur mollis enim at porta. Maecenas mauris orci, venenatis volutpat ex a, vehicula volutpat ex. Duis metus neque, pharetra mattis ex et, tristique consequat enim. Vestibulum ante ipsum primis in faucibus orci luctus et ultrices posuere cubilia curae; In posuere neque tempus ex rutrum, at fermentum nunc facilisis. Phasellus eu molestie leo, sit amet malesuada felis. Nullam at augue mi. Etiam sollicitudin non elit ut pellentesque.
Mauris mollis ornare est nec dignissim. Aliquam volutpat nisl quis vehicula suscipit. In sit amet vehicula tellus. Quisque sed purus imperdiet, pharetra justo ut, maximus erat. Sed vitae magna elit. Sed eleifend turpis sed convallis hendrerit. In vitae blandit velit. Vivamus porta tincidunt felis, in consequat mi eleifend ac. Ut vehicula tellus diam, laoreet accumsan tellus finibus eget. Quisque malesuada ex vitae lacus dictum, vitae viverra ligula malesuada. Duis ac elit ipsum.
huduma ya leseni
tunatoa lesini kwa mwaka
LESENI NA MABANGO TEST